Siku ya Kitaifa ya Kuzuia na Kupunguza Maafa yaadhimishwa nchini China (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 12, 2025
Siku ya Kitaifa ya Kuzuia na Kupunguza Maafa yaadhimishwa nchini China
Wataalam wa uokoaji wakishiriki katika zoezi la kuigiza uokoaji majini kwenye Ziwa Lvjin katika Mji wa Huaibei, Mkoa wa Anhui, mashariki mwa China, Mei 11, 2025. (Picha na Wan Shanchao/Xinhua)

China inaadhimisha Siku ya Kitaifa ya Kuzuia na Kupunguza Maafa Tarehe 12 Mei kila mwaka, ambapo shughuli mbalimbali za kutoa elimu kwa umma, kutoa mafunzo na kufanya mazoezi ya kutokea kwenye maafa zinafanywa kote nchini China ili kuongeza uelewa wa umma katika kuzuia na kujiokoa kwa njia ya kisayansi kwenye majanga.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha