Wanafunzi wa Kimataifa wahudhuria washiriki shughuli za kitamaduni kabla ya Sikukuu ya Duanwu mjini Chongqing, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 29, 2025
Wanafunzi wa Kimataifa wahudhuria washiriki shughuli za kitamaduni kabla ya Sikukuu ya Duanwu mjini Chongqing, China
Picha hii iliyopigwa tarehe 28 Mei 2025 ikionyesha watu wenyeji wanacheza ngoma ya kijadi katika mji wa kale wa Fengsheng wa Eneo la Banan la Mji wa Chongqing, kusini-magharibi mwa China. (Xinhua/Chen Cheng)

Wakazi wenyeji na wanafunzi wa kimataifa zaidi ya 200 kutoka Chuo Kikuu cha Chongqing katika Mji wa Chongqing, China wameshiriki katika shughuli ya kujaribu na kuuhisi utamaduni kabla ya Sikukuu ya Duanwu.

Sikukuu ya Duanwu pia inajulikana ni Sikukuu ya Mashua ya Dragon, ikiwa moja kati ya sikukuu za jadi za China. Sikukuu hiyo husherehekewa kila ifikapo siku ya tano ya mwezi wa tano kwa kalenda ya kilimo ya China, na mwaka huu itakuwa tarehe 31, Mei.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha