

Lugha Nyingine
Handaki muhimu la reli lakamilisha ujenzi Mjini Chongqing, China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 05, 2025
Handaki la Mlima Zhongliang lenye urefu wa mita 4,944, handaki refu zaidi lililochimbwa kwa mbinu ya uchimbaji wa madini katika kipindi cha pili cha mradi wa njia namba 15 ya Reli ya Chongqing, limefikia hatua kubwa kwenye kukamilisha ujenzi juzi Jumanne, ikionyesha upigaji hatua kubwa katika ujenzi wa njia hiyo ya reli ya kwanza ya huduma za usafiri wa kasi ya mji huo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma