Handaki muhimu la reli lakamilisha ujenzi Mjini Chongqing, China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 05, 2025
Handaki muhimu la reli lakamilisha ujenzi Mjini Chongqing, China
Picha iliyopigwa tarehe 3 Juni 2025 ikionyesha lango la handaki la Mlima Zhongliang, mradi muhimu katika Njia ya Namba 15 ya Reli ya Chongqing, katika Mji wa Chongqing, kusini-magharibi mwa China. (Xinhua/Chen Cheng)

Handaki la Mlima Zhongliang lenye urefu wa mita 4,944, handaki refu zaidi lililochimbwa kwa mbinu ya uchimbaji wa madini katika kipindi cha pili cha mradi wa njia namba 15 ya Reli ya Chongqing, limefikia hatua kubwa kwenye kukamilisha ujenzi juzi Jumanne, ikionyesha upigaji hatua kubwa katika ujenzi wa njia hiyo ya reli ya kwanza ya huduma za usafiri wa kasi ya mji huo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha