

Lugha Nyingine
Maonyesho ya Da Vinci yafunguliwa kwenye Jumba la Makumbusho ya Historia ya Kiasili la China (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 06, 2025
![]() |
Picha hii iliyopigwa Juni 5, 2025 ikionyesha hafla ya uzinduzi wa Mwezi wa Sayansi na Teknolojia wa 2025 Msimu wa Makumbusho ya Beijing na Maonyesho ya "Mapatano kupitia Muda na Nafasi: Jinsi Leonardo da Vinci Alivyounda Masikilizano kati ya dunia yake ya Kisanaa na Kisayansi na Dunia ya Kiasili" kwenye Jumba la Makumbusho ya Historia ya Kiasili la China mjini Beijing, mji mkuu wa China. (Xinhua/Chen Zhonghao) |
Maonyesho ya "Mapatano kupitia Muda na Nafasi: Jinsi Leonardo da Vinci Alivyounda Masikilizano kati ya Dunia yake ya Kisanaa na Kisayansi na Dunia ya Kiasili” yamefunguliwa jana Alhamisi mjini Beijing, mji mkuu wa China na yataendelea hadi Oktoba 19.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma