

Lugha Nyingine
Mawimbi ya joto yachochea shughuli za kiuchumi za kusaidia kukwepa joto katika sehemu mbalimbali za China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 14, 2025
![]() |
Picha iliyopigwa Julai 12, 2025 ikionyesha watu wakiburudika kwenye eneo maalum la burudani za maji katika Eneo Jipya la Binhai la Mji wa Tianjin kaskazini mwa China. (Picha na Du Penghui/Xinhua) |
Huku mawimbi ya joto yakipiga baadhi ya mikoa na maeneo mbalimbali ya China katika siku za hivi karibuni, hali ya joto kali imechochea ukuaji wa shughuli za kiuchumi za kuwasaidia watu kukwepa joto kali.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma