

Lugha Nyingine
Mawimbi ya joto yachochea shughuli za kiuchumi za kusaidia kukwepa joto katika sehemu mbalimbali za China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 14, 2025
![]() |
Picha iliyopigwa tarehe 12 Julai 2025 ikionyesha watalii wakitazama shakwe kwenye eneo la kivutio cha utalii huko Rongcheng, Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China. (Picha na Li Xinjun/Xinhua) |
Huku mawimbi ya joto yakipiga baadhi ya mikoa na maeneo mbalimbali ya China katika siku za hivi karibuni, hali ya joto kali imechochea ukuaji wa shughuli za kiuchumi za kuwasaidia watu kukwepa joto kali.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma