

Lugha Nyingine
Mawimbi ya joto yachochea shughuli za kiuchumi za kusaidia kukwepa joto katika sehemu mbalimbali za China (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 14, 2025
![]() |
Watu wakifurahia kucheza na puto kwenye eneo la kivutio cha utalii huko Luzhou, Mkoa wa Sichuan, kusini-magharibi mwa China, Julai 13, 2025. (Picha na Liao Shengchun/Xinhua) |
Huku mawimbi ya joto yakipiga baadhi ya mikoa na maeneo mbalimbali ya China katika siku za hivi karibuni, hali ya joto kali imechochea ukuaji wa shughuli za kiuchumi za kuwasaidia watu kukwepa joto kali.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma