Fainali za mashindano ya kuchezesha roboti nchini China za mwaka 2025 zaanza mjini Beijing (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 22, 2025
Fainali za mashindano ya kuchezesha roboti nchini China za mwaka 2025 zaanza mjini Beijing
Washiriki wanashindana kwenye fainali za kimataifa za mwaka huu za kuchezesha roboti kwa vijana nchini China mjini Beijing, Agosti 21, 2025. (Xinhua/Zhang Chenlin)

Fainali za michezo ya kuchezesha roboti ya China kwa mwaka 2025 zilianza Alhamisi kwenye Jumba la Kitaifa la Michezo ya kuteleza kwenye barafu mjini Beijing. Karibu vijana 1,500 wanaopenda sayansi na teknolojia kutoka zaidi ya nchi na maeneo kumi duniani, zikiwemo China, Marekani, Malaysia, Thailand, Austria, na Slovakia wanashiriki kwenye fainali hizo.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha