

Lugha Nyingine
Fainali za mashindano ya kuchezesha roboti nchini China za mwaka 2025 zaanza mjini Beijing (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 22, 2025
![]() |
Washiriki wakishindana kwenye fainali za mwaka 2025 za kuchezesha roboti kwa vijana nchini China mjini Beijing, Agosti 21, 2025. (Xinhua/Zhang Chenlin) |
Fainali za michezo ya kuchezesha roboti ya China kwa mwaka 2025 zilianza Alhamisi kwenye Jumba la Kitaifa la Michezo ya kuteleza kwenye barafu mjini Beijing. Karibu vijana 1,500 wanaopenda sayansi na teknolojia kutoka zaidi ya nchi na maeneo kumi duniani, zikiwemo China, Marekani, Malaysia, Thailand, Austria, na Slovakia wanashiriki kwenye fainali hizo.
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Uwekaji wa nguzo za chuma kwenye Daraja la Mto Hanjiang la reli ya kasi ya Xi'an-Shiyan wakamilika
Michezo ya Dunia ya Chengdu | Sherehe ya Kufungwa kwa Michezo ya 12 ya Dunia yafanyika
Reli ya kasi China iliyoko kaskazini zaidi mwa China yafikisha miaka 10 tangu ilipoanzishwa
Mandhari ya Arxan yenye vivutio vingi vya utalii, Kaskazini mwa China
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma