

Lugha Nyingine
Maonyesho ya kuadhimisha miaka 80 ya ushindi wa vita dhidi ya uvamizi wa Wajapan, na ushindi wa kupinga ufashisti yafunguliwa Beijing (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 26, 2025
![]() |
Mtazamaji anatazama picha iliyochorwa kwenye Jumba la Sanaa ya Uchoraji wa Picha la China mjini Beijing, China, Agosti 25, 2025. (Xinhua/Lu Peng) |
Maonyesho ya sanaa ya kuadhimisha miaka 80 ya ushindi wa Vita vya Watu wa China vya kupambana na uvamizi wa Japan na Vita vya dunia vya kupinga Ufashisti yalianza Jumatatu mjini Beijing. Maonyesho hayo yatakayofanyika hadi Septemba 18, yameleta pamoja kazi za sanaa zaidi ya 300 zikiwemo picha za uchoraji wa kichina, picha za mafuta, picha zilizotokana na uchongaji kwenye mbao na sanamu.
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Renato Lu)
Uwekaji wa nguzo za chuma kwenye Daraja la Mto Hanjiang la reli ya kasi ya Xi'an-Shiyan wakamilika
Michezo ya Dunia ya Chengdu | Sherehe ya Kufungwa kwa Michezo ya 12 ya Dunia yafanyika
Reli ya kasi China iliyoko kaskazini zaidi mwa China yafikisha miaka 10 tangu ilipoanzishwa
Mandhari ya Arxan yenye vivutio vingi vya utalii, Kaskazini mwa China
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma