Lugha Nyingine
Jengo la kwanza duniani lisilotoa kabisa hewa ya kaboni laanza kutumika (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 26, 2025
![]() |
| Picha hii iliyopigwa kwa droni Agosti 25, 2025 inaonyesha jengo la kwanza duniani lisilotoa kabisa hewa ya kaboni, ambalo ni makao makuu ya kampuni ya vituo vya kuchaji magari ya umeme ya TELD New Energy, mjini Qingdao, Mkoani Shandong, China. (Picha na Zhang Jingang/Xinhua) |
Jengo hili lenye mpango wa ufumbuzi wa teknolojia za kisasa ili kufikia asilimia 100 ya matumizi ya nishati ya kijani, lilianza kutumika Jumapili mjini Qingdao.
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Renato Lu)

Uwekaji wa nguzo za chuma kwenye Daraja la Mto Hanjiang la reli ya kasi ya Xi'an-Shiyan wakamilika

Michezo ya Dunia ya Chengdu | Sherehe ya Kufungwa kwa Michezo ya 12 ya Dunia yafanyika

Reli ya kasi China iliyoko kaskazini zaidi mwa China yafikisha miaka 10 tangu ilipoanzishwa

Mandhari ya Arxan yenye vivutio vingi vya utalii, Kaskazini mwa China
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
