Jengo la kwanza duniani lisilotoa kabisa hewa ya kaboni laanza kutumika

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 26, 2025
Jengo la kwanza duniani lisilotoa kabisa hewa ya kaboni laanza kutumika
Picha hii iliyopigwa Agosti 25, 2025 inaonyesha jengo la kwanza duniani lisilotoa kabisa hewa ya kaboni, ambalo ni makao makuu ya kampuni ya vituo vya kuchaji magari ya umeme ya TELD New Energy, mjini Qingdao, Mkoani Shandong, China. (Picha na Zhang Jingang/Xinhua)

Jengo hili lenye mpango wa ufumbuzi wa teknolojia za kisasa ili kufikia asilimia 100 ya matumizi ya nishati ya kijani, lilianza kutumika Jumapili mjini Qingdao.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Renato Lu)

Picha