China yahamasisha juhudi za kukabiliana na kuanguka kwa theluji na kushuka kwa halijoto katika maeneo mengi (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 21, 2026
China yahamasisha juhudi za kukabiliana na kuanguka kwa theluji na kushuka kwa halijoto katika maeneo mengi
Picha iliyopigwa Januari 20, 2026 ikionyesha wafanyakazi wa usafi wakiendesha vifaa vya kuondoa theluji ili kusafisha barabara katika Wilaya ya Wuzhi, Mkoa wa Henan, katikati mwa China. (Picha na Wang Linfeng/Xinhua)

Kutokana na kuanguka kwa theluji nyingi na kushuka kwa halijoto kwa kiwango kikubwa katika maeneo mbalimbali kote China, hatua mbalimbali zimechukuliwa na mamlaka za China ili kukabiliana kikamilifu na hali hizo za hewa.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha