Lugha Nyingine
China yahamasisha juhudi za kukabiliana na kuanguka kwa theluji na kushuka kwa halijoto katika maeneo mengi (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 21, 2026
![]() |
| Wafanyakazi wa usafi wakiondoa theluji barabarani katika Eneo la Wuchang la Mji wa Wuhan, Mkoa wa Hubei, katikati mwa China, Januari 20, 2026. (Xinhua/Xiao Yijiu) |
Kutokana na kuanguka kwa theluji nyingi na kushuka kwa halijoto kwa kiwango kikubwa katika maeneo mbalimbali kote China, hatua mbalimbali zimechukuliwa na mamlaka za China ili kukabiliana kikamilifu na hali hizo za hewa.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




