China yahamasisha juhudi za kukabiliana na kuanguka kwa theluji na kushuka kwa halijoto katika maeneo mengi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 21, 2026
China yahamasisha juhudi za kukabiliana na kuanguka kwa theluji na kushuka kwa halijoto katika maeneo mengi
Wafanyakazi wakiondoa theluji kwenye daraja la watembea kwa miguu mjini Hefei, Mkoa wa Anhui, mashariki mwa China, Januari 20, 2026. (Picha na Chen Sanhu/Xinhua)

Kutokana na kuanguka kwa theluji nyingi na kushuka kwa halijoto kwa kiwango kikubwa katika maeneo mbalimbali kote China, hatua mbalimbali zimechukuliwa na mamlaka za China ili kukabiliana kikamilifu na hali hizo za hewa.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha