China yajenga mtandao mkubwa zaidi duniani wa kuchaji magari yanayotumia nishati ya umeme (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 23, 2026
China yajenga mtandao mkubwa zaidi duniani wa kuchaji magari yanayotumia nishati ya umeme
Magari yanayotumia nishati ya umeme yakichajiwa kwenye kituo cha kuchajia katika Mji wa Yinchuan, Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wahui wa Ningxia, kaskazini magharibi mwa China, Januari 21, 2026. (Picha na Yuan Hongyan/Xinhua)

China imejenga mtandao mkubwa zaidi duniani wa kuchaji magari yanayotumia nishati ya umeme (EV), ambao unaweza kukidhi mahitaji ya kuchaji magari zaidi ya milioni 40 yanayotumia nishati mpya, Mamlaka ya Kitaifa ya Nishati ya China (NEA) imesema Jumatano wiki hii.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha