China yajenga mtandao mkubwa zaidi duniani wa kuchaji magari yanayotumia nishati ya umeme (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 23, 2026
China yajenga mtandao mkubwa zaidi duniani wa kuchaji magari yanayotumia nishati ya umeme
Picha hii iliyopigwa Januari 21, 2026 ikionyesha kituo cha kuchajia magari yanayotumia nishati ya umeme katika Mji wa Jiaxing, Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China. (Picha na Jin Peng/Xinhua)

China imejenga mtandao mkubwa zaidi duniani wa kuchaji magari yanayotumia nishati ya umeme (EV), ambao unaweza kukidhi mahitaji ya kuchaji magari zaidi ya milioni 40 yanayotumia nishati mpya, Mamlaka ya Kitaifa ya Nishati ya China (NEA) imesema Jumatano wiki hii.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha