Lugha Nyingine
China yajenga mtandao mkubwa zaidi duniani wa kuchaji magari yanayotumia nishati ya umeme (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 23, 2026
![]() |
| Dereva akichaji gari linalotumia nishati ya umeme mjini Taizhou, Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China, Januari 22, 2026. (Picha na Tang Dehong/Xinhua) |
China imejenga mtandao mkubwa zaidi duniani wa kuchaji magari yanayotumia nishati ya umeme (EV), ambao unaweza kukidhi mahitaji ya kuchaji magari zaidi ya milioni 40 yanayotumia nishati mpya, Mamlaka ya Kitaifa ya Nishati ya China (NEA) imesema Jumatano wiki hii.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




