Maonyesho ya 4 ya China ya Mnyororo wa Utoaji Bidhaa za Kimataifa yafunguliwa Beijing (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 23, 2026
Maonyesho ya 4 ya China ya Mnyororo wa Utoaji Bidhaa za Kimataifa yafunguliwa Beijing
Watembeleaji wakizungumza ndani ya banda la Kundi la Syngenta la China kwenye eneo la maonyesho ya Kilimo cha Kijani katika Maonyesho ya Nne ya China ya Mnyororo wa Utoaji Bidhaa za Kimataifa yanayofanyika Beijing, Juni 22, 2026. (Xinhua/Zhang Yudong)

Maonyesho ya Nne ya China ya Mnyororo wa Utoaji Bidhaa za Kimataifa yanayofanyika chini ya kaulimbiu ya "Kuunganisha Dunia kwa Mustakabali wa Pamoja," yamefunguliwa Beijing, mji mkuu wa China jana Jumatatu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha