Maonyesho ya 4 ya China ya Mnyororo wa Utoaji Bidhaa za Kimataifa yafunguliwa Beijing

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 23, 2026
Maonyesho ya 4 ya China ya Mnyororo wa Utoaji Bidhaa za Kimataifa yafunguliwa Beijing
Picha hii iliyopigwa Juni 22, 2026 ikionyesha hafla ya kufunguliwa kwa Maonyesho ya Nne ya China ya Mnyororo wa Utoaji Bidhaa za Kimataifa iliyofanyika Beijing, mji mkuu wa China. (Xinhua/Wu Qinghao)

Maonyesho ya Nne ya China ya Mnyororo wa Utoaji Bidhaa za Kimataifa yanayofanyika chini ya kaulimbiu ya "Kuunganisha Dunia kwa Mustakabali wa Pamoja," yamefunguliwa Beijing, mji mkuu wa China jana Jumatatu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha