Maonyesho ya 4 ya China ya Mnyororo wa Utoaji Bidhaa za Kimataifa yafunguliwa Beijing (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 23, 2026
Maonyesho ya 4 ya China ya Mnyororo wa Utoaji Bidhaa za Kimataifa yafunguliwa Beijing
Watu wakitembelea eneo la maonyesho ya Magari ya Teknolojia Janja katika Maonyesho ya Nne ya China ya Mnyororo wa Utoaji Bidhaa za Kimataifa yanayofanyika Beijing, Juni 22, 2026. (Xinhua/Xie Han)

Maonyesho ya Nne ya China ya Mnyororo wa Utoaji Bidhaa za Kimataifa yanayofanyika chini ya kaulimbiu ya "Kuunganisha Dunia kwa Mustakabali wa Pamoja," yamefunguliwa Beijing, mji mkuu wa China jana Jumatatu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha