Lugha Nyingine
Maonyesho ya 4 ya China ya Mnyororo wa Utoaji Bidhaa za Kimataifa yafunguliwa Beijing (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 23, 2026
Maonyesho ya Nne ya China ya Mnyororo wa Utoaji Bidhaa za Kimataifa yanayofanyika chini ya kaulimbiu ya "Kuunganisha Dunia kwa Mustakabali wa Pamoja," yamefunguliwa Beijing, mji mkuu wa China jana Jumatatu.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




