Lugha Nyingine
Siku 62 za pilika nyingi za usafiri wa majira ya joto zamalizika rasmi nchini China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 01, 2026
![]() |
| Abiria wakisubiri kupanda treni kwenye jukwaa la Stesheni ya Reli ya Mashariki ya Hangzhou, mkoani Zhejiang , mashariki mwa China, Agosti 31, 2026. (Picha na Long Wei/Xinhua) |
Siku 62 za pilika nyingi za usafiri za majira ya joto, ambazo zilishuhudia makumi ya maelfu ya watu wa China wakisafiri ndani na nje ya nchi kufurahia siku za mapumziko na kufanya utalii, zimemalizika rasmi jana Jumatatu.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




