Siku 62 za pilika nyingi za usafiri wa majira ya joto zamalizika rasmi nchini China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 01, 2026
Siku 62 za pilika nyingi za usafiri wa majira ya joto zamalizika rasmi nchini China
Abiria wakikaguliwa tiketi kwenye Stesheni ya Reli ya Mashariki ya Yangzhou, mkoani Jiangsu, mashariki mwa China, Agosti 31, 2026. (Picha na Meng Delong/Xinhua)

Siku 62 za pilika nyingi za usafiri za majira ya joto, ambazo zilishuhudia makumi ya maelfu ya watu wa China wakisafiri ndani na nje ya nchi kufurahia siku za mapumziko na kufanya utalii, zimemalizika rasmi jana Jumatatu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha