Lugha Nyingine
Siku 62 za pilika nyingi za usafiri wa majira ya joto zamalizika rasmi nchini China (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 01, 2026
![]() |
| Abiria wakisubiri treni zao ndani ya ukumbi wa kusubiria wa Stesheni ya Reli ya Huzhou, mkoani Zhejiang, mashariki mwa China, Agosti 31, 2026. (Picha na Yi Fan/Xinhua) |
Siku 62 za pilika nyingi za usafiri za majira ya joto, ambazo zilishuhudia makumi ya maelfu ya watu wa China wakisafiri ndani na nje ya nchi kufurahia siku za mapumziko na kufanya utalii, zimemalizika rasmi jana Jumatatu.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




