Lugha Nyingine
Siku 62 za pilika nyingi za usafiri wa majira ya joto zamalizika rasmi nchini China (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 01, 2026
![]() |
| Picha ikionesha treni ya mwendo-kasi ikipita katika Mji wa Wuhan, mkoani Hubei, katikati mwa China, Agosti 31, 2026. (Picha na Zhao Juni/Xinhua) |
Siku 62 za pilika nyingi za usafiri za majira ya joto, ambazo zilishuhudia makumi ya maelfu ya watu wa China wakisafiri ndani na nje ya nchi kufurahia siku za mapumziko na kufanya utalii, zimemalizika rasmi jana Jumatatu.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




