Lugha Nyingine
Siku 62 za pilika nyingi za usafiri wa majira ya joto zamalizika rasmi nchini China (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 01, 2026
![]() |
| Abiria wakikaguliwa tiketi kwenye Stesheni ya Reli ya Shijiazhuang, mkoani Hebei, kaskazini mwa China, Agosti 31, 2026. (Picha na Chen Qibao/Xinhua) |
Siku 62 za pilika nyingi za usafiri za majira ya joto, ambazo zilishuhudia makumi ya maelfu ya watu wa China wakisafiri ndani na nje ya nchi kufurahia siku za mapumziko na kufanya utalii, zimemalizika rasmi jana Jumatatu.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




