人民网首页

Habari

Rais wa IOC aandika barua kuwashukuru watu wa kujitolea kwenye Michezo ya Olimpiki ya Beijing 2022

Rais wa Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa Thomas Bach akihutubia sherehe za ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi ya Beijing 2022 kwenye Uwanja wa Taifa wa Beijing, nchini China Februari 20, 2022. (Xinhua/Cao Can) GENEVA – Rais wa Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa (IOC) Thomas Bach katika barua yake aliyotuma Alhamisi wiki hii ametoa shukrani zake na kuvutiwa na watu wote wa kujitolea waliohudumu wakati wa Michezo ya Olimpiki na Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya baridi ya Beijing 2022.

Mafanikio ya Michezo ya Olimpiki na Paralimpiki ya Majira ya baridi ya Beijing yanadhihirisha moyo wa jumuiya yenye mustakabali wa pamoja wa binadamu - wataalam

BEIJING - Wakati Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi ya Walemavu ya Beijing 2022 ilipofungwa hapa Beijing Jumapili ya wiki iliyopita, China imetimiza ahadi yake kwa Dunia, na kutoa mchango mpya kwa malengo ya kimataifa ya Olimpiki. Wataalamu kutoka sehemu mbalimbali za Dunia wameeleza kushukuru kwao kwa juhudi za China katika suala hilo, wakisisitiza kwamba mafanikio ya Michezo ya Olimpiki na Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya baridi ya Beijing yanadhihirisha moyo wa jumuiya yenye mustakabali wa pamoja wa binadamu.

Rais wa IPC atangaza kufungwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Walemavu ya Beijing

Andrew Parsons, Rais wa Kamati ya Kimataifa ya Michezo ya Olimpiki ya Walemavu (IPC), akihutubia ufungaji wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi ya Walemavu ya Beijing 2022 kwenye Uwanja wa Taifa wa Beijing, Mji Mkuu wa China, Machi 13, 2022. (Xinhua/Wu Zhuang) BEIJING - Rais wa Kamati ya Kimataifa ya Paralimpiki (IPC) Andrew Parsons Jana Jumapili jioni ametangaza kufungwa rasmi kwa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi ya Walemavu ya Beijing 2022.

Rais Xi Jinping wa China akipunga mkono katika sherehe ya ufungaji wa Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022 kwenye Uwanja wa Taifa wa Beijing, Machi 13, 2022. (Xinhua/Xie Huanchi)

Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Walemavu ya Beijing yafungwa

Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Walemavu ya Beijing imefungwa jana usiku katika Uwanja wa michezo wa Taifa mjini Beijing, na rais Xi Jinping wa China na rais wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki ya Walemavu, Andrew Parsons wameshiriki kwenye sherehe ya ufungaji wa michezo hiyo. Katika siku 9 zilizopita, wanamichezo karibu 600 kutoka nchi na sehemu 46 wameshindana kwenye uwanja wa michezo na kuonyesha moyo wa kujitegemea na kujiendeleza.

1 2 3 4 5 6 Inayofuata