人民网首页

Habari

Uvumbuzi wa kifedha kuboresha Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi ya Beijing

Mgeni akitazama maelezo kuhusu sarafu ya kidijitali ya China (e-CNY) kwenye maonesho huko Beijing. [Picha/DU JIANPO/People’s Daily] Jumla ya fedha zilizotengwa na sekta ya benki ya Beijing kwa ajili ya ujenzi wa kumbi za Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi ya Mwaka 2022 na vifaa vya usaidizi imezidi yuan bilioni 78 (sawa na dola za kimarekani bilioni 12.

Kamati ya maandalizi ya Michezo ya Olimpiki ya Beijing 2022 yatoa Ripoti kuhusu urithi wa Michezo hiyo

Bustani ya Olimpiki ya Majira ya baridi ya Beijing, ambayo ni Makao Makuu ya kamati ya maandalizi ya michezo hiyo, kituo cha uendeshaji, ukumbi wa kuruka na kuteleza kwenye barafu wa Big Air wa Shougang na kumbi zingine za michezo. [Picha/Xinhua] BEIJING - Kamati ya maandalizi ya Michezo ya Olimpiki na Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Beijing 2022 imetoa ripoti mfululizo za utafiti ambayo ina ripoti saba tofauti za urithi wa michezo hiyo zinazohusu mchango katika nyanja za michezo, uchumi, jamii, utamaduni, mazingira, maendeleo ya miji na maendeleo ya kikanda.

Upande wa China wamkaribisha Rais wa Poland kushiriki kwenye sherehe za ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi

Kwa kujibu ripoti kuwa Rais wa Poland Andrzej Duda atashiriki kwenye sherehe za ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Zhao Lijian alisema kwenye mkutano na waandishi wa habari Januari 19 kuwa China inamkaribisha kwa furaha Rais Duda wa Poland kuja China kushiriki kwenye sherehe za ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing. Hii imeonesha matumaini ya jumuiya ya kimataifa ya “kwenda pamoja kwa siku za baadaye”.

Hii ni stempu yenye thamani ya Dola za Mareknai 0.58. (Picha/Xinhua)

UN yatoa Stempu kwa ajili ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022

Shirika la Posta la Umoja wa Mataifa (UNPA) Januari 14 lilitangaza kuwa, ili kusherehekea kuwadia kwa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022, UN itatoa stempu yenye kaulimbiu ya “Michezo Yahimiza Amani”. Hii ni mara ya kwanza kwa UN kutoa stempu kwa ajili ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi.

Iliyopita14 15 16 17 18 19 Inayofuata