Rashid Kejo kwenye Jumba Kuu la Mikutano ya Umma la China wakati wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Chama cha Kikomunisti cha China. (Picha ilitolewa na mhojiwa.…
BEIJING - Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) siku ya Jumanne ilifanya mkutano ili kuweka mikakati na mipango ya kusoma, kueneza na kutekeleza kanuni elekezi za Mkutano Mkuu wa 20 wa CPC uliomalizika hivi karibuni. Xi Jinping, Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China, ameongoza kikao hicho, ambacho pia kilijadili kanuni za kuimarisha na kulinda uongozi wa pamoja wa Kamati Kuu ya Chama, na kanuni za kina za utekelezaji wa uamuzi wa mambo mnane kuhusu mwenendo wa kazi.…
Msomi kutoka nchini Eritrea Dr. Henok Neguse Negash amesema Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) kina uwezo mkubwa wa utawala.…
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pongeza kwa rais Xi Jinping wa China kwa kuchaguliwa tena kuwa Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China.…