Zhao Leji, mjumbe wa kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na mwenyekiti wa Bunge la Umma la China akikutana na waandishi wa habari walioripoti habari za mkutano wa tatu wa Bunge hilo la 14, na kutoa shukrani zake kwa juhudi zao, katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 12, 2025. (Xinhua/Liu Bin)
BEIJING - Zhao Leji, Mwenyekiti wa Bunge la Umma la China jana Jumatano alikutana na waandishi wa habari walioripoti na kutangaza habari za mkutano wa tatu wa Bunge hilo la 14, akitoa shukrani zake kwa juhudi zao.…
Mawaziri na viongozi wa Serikali ya China wamehudhuria mahojiano na waandishi wa habari na kujibu maswali mbalimbali kuhusu masuala ya wizara na mamlaka wanazoziongoza jana Jumanne, Machi 12, baada ya kikao cha kufunga mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, mji mkuu wa China.…
Rais Xi Jinping wa China na viongozi wengine Li Qiang, Wang Huning, Cai Qi, Ding Xuexiang, Li Xi na Han Zheng wakihudhuria kwenye mkutano wa tatu wa kufungwa wa Bunge la 14 la Umma la China kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 11, 2025. (Xinhua/Li Xueren)
BEIJING – Mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China, ambalo ni chombo kikuu cha utungaji wa sheria cha China umemalizika jana Jumanne, ambapo Rais Xi Jinping wa China na viongozi wengine Li Qiang, Wang Huning, Cai Qi, Ding Xuexiang, Li Xi na Han Zheng walihudhuria kwenye mkutano huo wa kufungwa katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing.…
Akiwa amekabidhiwa kazi na Zhao Leji, Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano wa tatu wa Bunge la Umma la 14 la China, Li Hongzhong, mwenyekiti mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano akiongoza kikao cha tatu cha tume hiyo kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 10, 2025. (Xinhua/Yue Yuewei)
BEIJING – Tume ya Utendaji wa mkutano wa tatu wa Bunge la Umma la 14 la China, ambalo ni chombo cha utungaji wa sheria cha kitaifa cha China, imefanya kikao chake cha tatu jana Jumatatu, ambapo akiwa amekaimishwa kazi na Zhao Leji, mwenyekiti mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano Li Hongzhong ameongoza kikao hicho.…
Feng Xingya, mwenyekiti wa kundi la kampuni za kuunda magari la China, GAC, amekuwa akifanya kazi katika tasnia ya magari kwa miaka zaidi ya 30. Ameshuhudia maendeleo ya tasnia ya magari ya China.…
Katika mikutano mikuu miwili ya China inayoendelea mjini Beijing, yaani mkutano wa mwaka wa Bunge la 14 la Umma la China na ule wa Kamati ya 14 ya Kitaifa ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China, toleo la Breli (maandishi ya watu wenye ulemavu wa macho) la ripoti ya kazi ya serikali ya nchi hiyo imetolewa kwa mara ya kwanza kwa wajumbe wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China.
Wakati wa mchana wa jana Alhamisi, tarehe 5, Machi, mjumbe wa baraza hilo, Li Qingzhong kwenye kikao cha kikundi cha wajumbe wa sekta ya ustawi wa jamii na huduma za jamii, mahsusi aliomba kila mjumbe kuzingatia ripoti hiyo maalumu ya kazi ya serikali aliyokuwa ameishika mkononi wakati akizungumza.…
ABA - Gexi Wangmu, ni mjumbe wa Bunge la 14 la Umma la China, anayefanya kazi kama mkurugenzi wa kituo cha matunzo ya wazee katika Mji wa Maerkang wa Mkoa wa Sichuan, Kusini Magharibi mwa China.
Akiwa ni mjumbe wa bunge hilo wa "kuzaliwa baada ya miaka ya 90", Gexi alianza maisha yake ya utumishi kama mfanyakazi wa mstari wa mbele wa huduma za matunzo ya wazee, na amejitolea kwa miaka 16 katika kazi yake hiyo.…
NANJING - Sun Jingnan amekuwa akifanya kazi kama mchomeleaji vyuma katika Kampuni ya Vifaa vya Reli ya CRRC ya China Tawi la Nanjing kwa zaidi ya miongo mitatu, na pia shahidi wa maendeleo ya haraka ya sekta ya usafiri wa reli ya China.
Akiwa amekua kutoka fundi kijana hadi kuwa mtaalamu, Sun ni mshauri na mlezi kitaaluma kwa vijana wengi wenye vipaji katika sekta hiyo ya reli.…
Akiwa amekabidhiwa kazi na Zhao Leji, Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano wa tatu wa Bunge la Umma la 14 la China, Li Hongzhong, mwenyekiti mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano akiongoza kikao cha tatu cha tume hiyo kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 10, 2025. (Xinhua/Yue Yuewei)
BEIJING – Tume ya Utendaji wa mkutano wa tatu wa Bunge la Umma la 14 la China, ambalo ni chombo cha utungaji wa sheria cha kitaifa cha China, imefanya kikao chake cha tatu jana Jumatatu, ambapo akiwa amekaimishwa kazi na Zhao Leji, mwenyekiti mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano Li Hongzhong ameongoza kikao hicho.…
Wafanyakazi wakifanya kazi kwenye ofisi ya sekretarieti ya mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China mjini Beijing, Machi 9, 2025. (Xinhua/Zheng Huansong)
BEIJING – Watunga sheria wa kitaifa wa China wamewasilisha mapendekezo 269 hadi Machi 8 ambayo ni tarehe ya mwisho kuwasilisha mapendekezo kwa mkutano mkuu wa tatu unaoendelea mjini Beijing wa Bunge la Umma la 14 la China, ambao ni mkutano wa mwaka wa chombo hicho kikuu cha utungaji wa sheria.…
Mawaziri wa China, Lu Zhiyuan wa Wizara ya Mambo ya Kiraia, Wang Xiaoping wa Wizara ya Rasilimali Watu na Hifadhi ya Jamii, Ni Hong wa Wizara ya Nyumba na Maendeleo ya Miji-Vijiji, na Lei Haichao Mkuu wa Kamati ya Kitaifa ya Afya ya China wamehudhuria kwenye mkutano na waandishi wa habari jana Jumapili wakifafanua na kujibu maswali mbalimbali yanayohusu maisha ya watu kwenye mkutano na waandishi wa habari katika wakati wa mkutano wa tatu wa Bunge la Umma la 14 la China unaondelea mjini Beijing.…
Feng Xingya, mwenyekiti wa kundi la kampuni za kuunda magari la China, GAC, amekuwa akifanya kazi katika tasnia ya magari kwa miaka zaidi ya 30. Ameshuhudia maendeleo ya tasnia ya magari ya China.…
Zhao Leji, mjumbe wa kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na mwenyekiti wa Bunge la Umma la China akikutana na waandishi wa habari walioripoti habari za mkutano wa tatu wa Bunge hilo la 14, na kutoa shukrani zake kwa juhudi zao, katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 12, 2025. (Xinhua/Liu Bin)
BEIJING - Zhao Leji, Mwenyekiti wa Bunge la Umma la China jana Jumatano alikutana na waandishi wa habari walioripoti na kutangaza habari za mkutano wa tatu wa Bunge hilo la 14, akitoa shukrani zake kwa juhudi zao.…
Mawaziri na viongozi wa Serikali ya China wamehudhuria mahojiano na waandishi wa habari na kujibu maswali mbalimbali kuhusu masuala ya wizara na mamlaka wanazoziongoza jana Jumanne, Machi 12, baada ya kikao cha kufunga mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, mji mkuu wa China.…
Rais Xi Jinping wa China na viongozi wengine Li Qiang, Wang Huning, Cai Qi, Ding Xuexiang, Li Xi na Han Zheng wakihudhuria kwenye mkutano wa tatu wa kufungwa wa Bunge la 14 la Umma la China kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 11, 2025. (Xinhua/Li Xueren)
BEIJING – Mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China, ambalo ni chombo kikuu cha utungaji wa sheria cha China umemalizika jana Jumanne, ambapo Rais Xi Jinping wa China na viongozi wengine Li Qiang, Wang Huning, Cai Qi, Ding Xuexiang, Li Xi na Han Zheng walihudhuria kwenye mkutano huo wa kufungwa katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing.…
Akiwa amekabidhiwa kazi na Zhao Leji, Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano wa tatu wa Bunge la Umma la 14 la China, Li Hongzhong, mwenyekiti mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano akiongoza kikao cha tatu cha tume hiyo kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 10, 2025. (Xinhua/Yue Yuewei)
BEIJING – Tume ya Utendaji wa mkutano wa tatu wa Bunge la Umma la 14 la China, ambalo ni chombo cha utungaji wa sheria cha kitaifa cha China, imefanya kikao chake cha tatu jana Jumatatu, ambapo akiwa amekaimishwa kazi na Zhao Leji, mwenyekiti mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano Li Hongzhong ameongoza kikao hicho.…
Zhao Leji, mjumbe wa kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na mwenyekiti wa Bunge la Umma la China akikutana na waandishi wa habari walioripoti habari za mkutano wa tatu wa Bunge hilo la 14, na kutoa shukrani zake kwa juhudi zao, katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 12, 2025. (Xinhua/Liu Bin)
BEIJING - Zhao Leji, Mwenyekiti wa Bunge la Umma la China jana Jumatano alikutana na waandishi wa habari walioripoti na kutangaza habari za mkutano wa tatu wa Bunge hilo la 14, akitoa shukrani zake kwa juhudi zao.…
Mawaziri na viongozi wa Serikali ya China wamehudhuria mahojiano na waandishi wa habari na kujibu maswali mbalimbali kuhusu masuala ya wizara na mamlaka wanazoziongoza jana Jumanne, Machi 12, baada ya kikao cha kufunga mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, mji mkuu wa China.…
Rais Xi Jinping wa China na viongozi wengine Li Qiang, Wang Huning, Cai Qi, Ding Xuexiang, Li Xi na Han Zheng wakihudhuria kwenye mkutano wa tatu wa kufungwa wa Bunge la 14 la Umma la China kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 11, 2025. (Xinhua/Li Xueren)
BEIJING – Mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China, ambalo ni chombo kikuu cha utungaji wa sheria cha China umemalizika jana Jumanne, ambapo Rais Xi Jinping wa China na viongozi wengine Li Qiang, Wang Huning, Cai Qi, Ding Xuexiang, Li Xi na Han Zheng walihudhuria kwenye mkutano huo wa kufungwa katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing.…
Akiwa amekabidhiwa kazi na Zhao Leji, Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano wa tatu wa Bunge la Umma la 14 la China, Li Hongzhong, mwenyekiti mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano akiongoza kikao cha tatu cha tume hiyo kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 10, 2025. (Xinhua/Yue Yuewei)
BEIJING – Tume ya Utendaji wa mkutano wa tatu wa Bunge la Umma la 14 la China, ambalo ni chombo cha utungaji wa sheria cha kitaifa cha China, imefanya kikao chake cha tatu jana Jumatatu, ambapo akiwa amekaimishwa kazi na Zhao Leji, mwenyekiti mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano Li Hongzhong ameongoza kikao hicho.…
Zhao Leji, mjumbe wa kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na mwenyekiti wa Bunge la Umma la China akikutana na waandishi wa habari walioripoti habari za mkutano wa tatu wa Bunge hilo la 14, na kutoa shukrani zake kwa juhudi zao, katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 12, 2025. (Xinhua/Liu Bin)
BEIJING - Zhao Leji, Mwenyekiti wa Bunge la Umma la China jana Jumatano alikutana na waandishi wa habari walioripoti na kutangaza habari za mkutano wa tatu wa Bunge hilo la 14, akitoa shukrani zake kwa juhudi zao.
Mawaziri na viongozi wa Serikali ya China wamehudhuria mahojiano na waandishi wa habari na kujibu maswali mbalimbali kuhusu masuala ya wizara na mamlaka wanazoziongoza jana Jumanne, Machi 12, baada ya kikao cha kufunga mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, mji mkuu wa China.
Rais Xi Jinping wa China na viongozi wengine Li Qiang, Wang Huning, Cai Qi, Ding Xuexiang, Li Xi na Han Zheng wakihudhuria kwenye mkutano wa tatu wa kufungwa wa Bunge la 14 la Umma la China kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 11, 2025. (Xinhua/Li Xueren)
BEIJING – Mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China, ambalo ni chombo kikuu cha utungaji wa sheria cha China umemalizika jana Jumanne, ambapo Rais Xi Jinping wa China na viongozi wengine Li Qiang, Wang Huning, Cai Qi, Ding Xuexiang, Li Xi na Han Zheng walihudhuria kwenye mkutano huo wa kufungwa katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing.
Akiwa amekabidhiwa kazi na Zhao Leji, Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano wa tatu wa Bunge la Umma la 14 la China, Li Hongzhong, mwenyekiti mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano akiongoza kikao cha tatu cha tume hiyo kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 10, 2025. (Xinhua/Yue Yuewei)
BEIJING – Tume ya Utendaji wa mkutano wa tatu wa Bunge la Umma la 14 la China, ambalo ni chombo cha utungaji wa sheria cha kitaifa cha China, imefanya kikao chake cha tatu jana Jumatatu, ambapo akiwa amekaimishwa kazi na Zhao Leji, mwenyekiti mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano Li Hongzhong ameongoza kikao hicho.