Sikukuu ya Mashua ya Dragoni yasherehekewa kote China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 03, 2025
Sikukuu ya Mashua ya Dragoni yasherehekewa kote China
Wanafunzi wa kimataifa wakijifunza kuandaa zongzi, chakula cha kijadi cha China kuadhimisha Sikukuu ya Mashua ya Dragoni, katika Chuo Kikuu cha Sayansi ya Kielektroniki na Teknolojia cha China mjini Chengdu, Mkoani Sichuan, kusini-magharibi mwa China, Mei 30, 2025. (Picha na Li Xiangyu/Xinhua)

Sikukuu ya Mashua ya Dragoni, ambayo pia inajulikana kwa jina la Sikukuu ya Duanwu kwa Kichina, ni sikukuu ya jadi ya China kumkumbuka mshairi wa China ya kale Qu Yuan kutoka Enzi ya madola ya kivita (475-221). Ikiwa inasherehekewa siku ya tano ya mwezi wa tano kwa kalenda ya kilimo ya China, sikukuu hiyo, kwa mwaka huu iliangukia Mei 31 ambapo Wachina walikuwa na mapumziko ya siku tatu yaliyofikia tamamati jana Jumatatu. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha