Madaraja mjini Lhasa yaonesha maendeleo ya Xizang (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 06, 2025
Madaraja mjini Lhasa yaonesha maendeleo ya Xizang
Picha hii iliyopigwa kwa droni tarehe 30 Julai 2025 inaonyesha daraja kwenye Mto Lhasa, kusini-magharibi mwa Mkoa unaojiendesha wa Xizang, China. (Xinhua/Jiang Fan)

LHASA, Agosti 5 (Xinhua) -- Daraja la kwanza kwenye Mto Lhasa lilijengwa huko Lhasa, kusini-magharibi mwa Mkoa unaojiendesha wa Xizang, China katika miaka ya 1950, na kukomesha matumizi ya vivuko vya ngozi vya kondoo. Kwa sasa kuna madaraja mengi mjini Lhasa, yanayoonyesha maendeleo ya haraka ya eneo hilo katika uchukuzi na maendeleo ya miji.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Renato Lu)

Picha