

Lugha Nyingine
Madaraja mjini Lhasa yaonesha maendeleo ya Xizang
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 06, 2025
![]() |
Picha inaonesha madaraja kwenye Mto Lhasa mjini Lhasa, kusini-magharibi mwa Mkoa unaojiendesha wa Xizang, China, Julai 30, 2025. (Xinhua/ Jiang Fan) |
LHASA, Agosti 5 (Xinhua) -- Daraja la kwanza kwenye Mto Lhasa lilijengwa huko Lhasa, kusini-magharibi mwa Mkoa unaojiendesha wa Xizang, China katika miaka ya 1950, na kukomesha matumizi ya vivuko vya ngozi vya kondoo. Kwa sasa kuna madaraja mengi mjini Lhasa, yanayoonyesha maendeleo ya haraka ya eneo hilo katika uchukuzi na maendeleo ya miji.
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma