Michezo ya Dunia ya Chengdu | Picha bora za Agosti 10 (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 11, 2025

Tarehe 10, Agosti, wachezaji wa timu ya Thailand Lalita Yuennan/Warawut Saengsriruang wakiwa kwenye mashindano ya michezo.

Siku hiyo, timu ya Thailand Lalita Yuennan/Warawut Saengsriruang walipata ubingwa katika mchuano wa kunyakua medali ya dhahabu ya mashindano ya michezo ya Ju-jitsu kwa timu katika Michezo ya Dunia ya Chengdu 2025. (Jiang Hongjing/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha