Michezo ya Dunia ya Chengdu | Picha bora za Agosti 10

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 11, 2025

Tarehe 10, Agosti, Yannick Michiels kutoka Ubelgiji akishangilia baada ya kupata ubingwa kwenye mashindano ya michezo.

Siku hiyo, fainali ya mbio za masafa mafupi kwa wanaume ya Michezo ya Dunia ya Chengdu 2025 ilifanyika kwenye uwanja wa Eneo Jipya la Mashariki la Chengdu, Mkoa wa Sichuan wa China. (Jiang Han/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha