

Lugha Nyingine
Michezo ya Dunia ya Chengdu | Picha bora za Agosti 10 (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 11, 2025
Tarehe 10, Agosti, wachezaji wa timu ya Thailand walionyakua ubingwa (katikati juu), wachezaji wa timu ya Austria waliopata nafasi ya pili (kushoto) na wachezaji wa timu ya Italiano waliopata nafasi ya tatu wakipiga picha ya pamoja kwenye hafla ya kutunukia medali.
Siku hiyo, timu ya Thailand Lalita Yuennan/Warawut Saengsriruang walishinda ubingwa katika mchuano wa kunyakua medali ya dhahabu ya michezo ya Ju-jitsu kwa timu katika Michezo ya Dunia ya Chengdu 2025. (Jiang Hongjing/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma