Michezo ya Dunia ya Chengdu | Picha bora za Agosti 10 (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 11, 2025

Tarehe 10, Agosti, mchezaji kutoka Denmark Mads Brandt Pedersen akiwa kwenye mashindano ya michezo.

Siku hiyo, alinyakua ubingwa katika fainali ya mbio za marathon za mtumbwi za masafa marefu kwa mwanamume mmoja katika Michezo ya Dunia ya Chengdu 2025. (Li Jianan/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha