Watu wamesherehekea pamoja maadhimisho ya miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Mkoa unaojiendesha wa Xizang (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 22, 2025
Watu wamesherehekea pamoja maadhimisho ya miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Mkoa unaojiendesha wa Xizang
Watu wanashiriki kwenye halaiki kubwa ya kusherehekea maadhimisho ya miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Mkoa wa Xizang mjini Lhasa, Agosti 21, 2025. (Xinhua/Li Xiang)

Karibu maofisa wa eneo hilo na watu kutoka makabila na sekta mbalimbali wapatao 20,000 walishiriki kwenye sherehe hiyo.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha