Watu wamesherehekea pamoja maadhimisho ya miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Mkoa unaojiendesha wa Xizang (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 22, 2025
Watu wamesherehekea pamoja maadhimisho ya miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Mkoa unaojiendesha wa Xizang
Picha hii ikionesha Jukwaa la kuelea kwenye mkusanyiko mkubwa wa kusherehekea miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Mkoa Xizang mjini Lhasa, Mkoani Xizang, China, Agosti 21, 2025. (Xinhua/Xie Huanchi)

Karibu maofisa wa eneo hilo na watu kutoka makabila na sekta mbalimbali wapatao 20,000 walishiriki kwenye sherehe hiyo.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha