Watu wamesherehekea pamoja maadhimisho ya miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Mkoa unaojiendesha wa Xizang (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 22, 2025
Watu wamesherehekea pamoja maadhimisho ya miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Mkoa unaojiendesha wa Xizang
Watu washiriki kwenye halaiki kubwa ya kusherehekea miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Mkoa wa Xizang mjini Lhasa, Mkoani Xizang, China, Agosti 21, 2025. (Xinhua/Yin Bogu)

Karibu maofisa wa eneo hilo na watu kutoka makabila na sekta mbalimbali wapatao 20,000 walishiriki kwenye sherehe hiyo.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha