Vikosi Vyote vya Jeshi la Ukombozi wa Umma la China vyaanza mafunzo ya kijeshi ya mwaka mpya (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 05, 2026
Vikosi Vyote vya Jeshi la Ukombozi wa Umma la China vyaanza mafunzo ya kijeshi ya mwaka mpya
Kikosi cha ukanda wa kijeshi wa Xinjiang cha PLA kikifanya mkutano wa uhamasishaji wa mafunzo ya mwaka mpya. (Picha/Xinhua)

Vikosi vyote vya Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA) vimeanza mafunzo ya kijeshi ya mwaka mpya mwanzoni mwa mwaka 2026.

Kuanzia janga hadi maeneo ya pwani, na kutoka nyanda za juu zilizofunikwa na barafu hadi misitu minene ya milimani, maofisa na askari wote wa PLA wameanzisha mwaka mpya kwa hamasa kubwa ya mafunzo na kuimarisha utayari wa mapambano.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha