Lugha Nyingine
Vikosi Vyote vya Jeshi la Ukombozi wa Umma la China vyaanza mafunzo ya kijeshi ya mwaka mpya (9)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 05, 2026
![]() |
| Kikosi cha Zhenjiang cha PLA katika Mkoa wa Jiangsu kikifanya mafunzo ya kufyatua risasi halisi. (Picha/Xinhua) |
Vikosi vyote vya Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA) vimeanza mafunzo ya kijeshi ya mwaka mpya mwanzoni mwa mwaka 2026.
Kuanzia janga hadi maeneo ya pwani, na kutoka nyanda za juu zilizofunikwa na barafu hadi misitu minene ya milimani, maofisa na askari wote wa PLA wameanzisha mwaka mpya kwa hamasa kubwa ya mafunzo na kuimarisha utayari wa mapambano.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




