Lugha Nyingine
Vikosi Vyote vya Jeshi la Ukombozi wa Umma la China vyaanza mafunzo ya kijeshi ya mwaka mpya (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 05, 2026
![]() |
| Maofisa na Askari Polisi wa Silaha wa Kikosi cha Mkoa wa Shandong wakitumia gari la mashambulizi ya kupandia kuingia ndani ya jengo. (Picha/Xinhua) |
Vikosi vyote vya Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA) vimeanza mafunzo ya kijeshi ya mwaka mpya mwanzoni mwa mwaka 2026.
Kuanzia janga hadi maeneo ya pwani, na kutoka nyanda za juu zilizofunikwa na barafu hadi misitu minene ya milimani, maofisa na askari wote wa PLA wameanzisha mwaka mpya kwa hamasa kubwa ya mafunzo na kuimarisha utayari wa mapambano.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




