Vikosi Vyote vya Jeshi la Ukombozi wa Umma la China vyaanza mafunzo ya kijeshi ya mwaka mpya (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 05, 2026
Vikosi Vyote vya Jeshi la Ukombozi wa Umma la China vyaanza mafunzo ya kijeshi ya mwaka mpya
Kikosi cha Jeshi la Anga la PLA kikifanya mazoezi ya ulinzi wa anga yanayoiga hali halisi ya mapambano. (Picha/Xinhua)

Vikosi vyote vya Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA) vimeanza mafunzo ya kijeshi ya mwaka mpya mwanzoni mwa mwaka 2026.

Kuanzia janga hadi maeneo ya pwani, na kutoka nyanda za juu zilizofunikwa na barafu hadi misitu minene ya milimani, maofisa na askari wote wa PLA wameanzisha mwaka mpya kwa hamasa kubwa ya mafunzo na kuimarisha utayari wa mapambano.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha