Vikosi Vyote vya Jeshi la Ukombozi wa Umma la China vyaanza mafunzo ya kijeshi ya mwaka mpya

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 05, 2026
Vikosi Vyote vya Jeshi la Ukombozi wa Umma la China vyaanza mafunzo ya kijeshi ya mwaka mpya
Brigedi ya jeshi la nchi kavu chini ya Kamandi ya Kijeshi ya Magharibi ya PLA ikifanya mafunzo ya mapambano ya karibu. (Picha/Xinhua)

Vikosi vyote vya Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA) vimeanza mafunzo ya kijeshi ya mwaka mpya mwanzoni mwa mwaka 2026.

Kuanzia janga hadi maeneo ya pwani, na kutoka nyanda za juu zilizofunikwa na barafu hadi misitu minene ya milimani, maofisa na askari wote wa PLA wameanzisha mwaka mpya kwa hamasa kubwa ya mafunzo na kuimarisha utayari wa mapambano.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha