BEIJING - Rais Xi Jinping wa China amerejea Beijing Alhamisi usiku baada ya kuhudhuria Mkutano wa 16 wa Viongozi wa Nchi za BRICS uliofanyika Kazan, Russia kuanzia Oktoba 22 hadi 24.
Msafara wa Rais Xi, ambao ni pamoja Cai Qi, Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) ambaye pia ni Mkurugenzi wa Ofisi ya Kamati Kuu ya CPC, na Wang Yi, Mjumbe wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya CPC ambaye pia ni waziri wa mambo ya nje wa China, umerejea kwa ndege moja.…
Rais Xi Jinping wa China akitoa hotuba muhimu yenye kichwa "Kuunganisha Nguvu Kubwa ya Nchi za Kusini Kujenga Pamoja Jumuiya ya Binadamu yenye Mustakabali wa Pamoja" kwenye mazungumzo ya viongozi wa nchi za "BRICS Plus" huko Kazan, Russia, Oktoba 24, 2024. (Xinhua/Li Xueren)
KAZAN, Russia - Wakati viongozi wa nchi za BRICS walipokutana na nchi zisizo wanachama zinazotafuta uhusiano wa karibu na jumuiya hiyo siku ya Alhamisi, Rais wa China Xi Jinping ameeleza uungaji mkono mkubwa kwa Nchi za Kusini wakati akishiriki kwenye mazungumzo ya viongozi wa nchi za "BRICS Plus" siku ya mwisho ya mkutano huo wa Kazan.…

KAZAN, Russia - Rais Xi Jinping wa China jana Alhamisi alipokuwa akihutubia katika mazungumzo ya viongozi wa "BRICS Plus" ametoa wito kwa nchi za "BRICS Plus" kujitahidi kwa ajili ya usalama wa pamoja, maendeleo ya pamoja na mapatano kati ya ustaarabu mbalimbali.…
Rais wa Russia Putin akiongea kwenye mkutano na waandishi wa habari katika siku ya mwisho ya Mkutano wa 16 wa Viongozi wa Nchi za BRICS mjini Kazan, Russia Oktoba 24. (Xinhua/Cao Yang)
MOSCOW - Nchi za BRICS zina dhamira ya kujenga utaratibu wa dunia wa kidemokrasia na wenye pande nyingi, Rais wa Russia Vladimir Putin amesema siku ya Alhamisi, kwenye mkutano na waandishi wa habari katika siku ya mwisho ya Mkutano wa 16 wa Viongozi wa Nchi za BRICS mjini Kazan, Russia.…
Washiriki wa Baraza la BRICS juu ya Ushirikiano kuhusu Mapinduzi Mapya ya Viwanda 2024 wakiwa kwenye picha ya kundi mjini Xiamen, Mkoa wa Fujian, kusini mashariki mwa China, Septemba 10, 2024. (Xinhua/Lin Shanchuan)
MOSCOW - Ushirikiano uliopanuliwa wa BRICS utatoa mchango mkubwa zaidi katika kuboresha mfumo wa usimamizi wa dunia, amesema Balozi wa China nchini Russia Zhang Hanhui katika mahojiano maalum na Shirika la Habari la China, Xinhua kabla ya Mkutano wa 16 wa Viongozi wa BRICS uliopangwa kuanza leo Oktoba 22 hadi 24 mjini Kazan, Russia akisema kuwa mkutano huo ni wa kwanza kwa viongozi wa BRICS kufanyika nje ya mtandao tangu upanuzi wa kundi hilo.…
"China inafanya kazi muhimu katika kuhimiza kukamilisha mfumo wa ushirikiano wa BRICS siku hadi siku, kutetea usawa na haki na ushirikiano wa pande nyingi. Kazi ya uongozi ya China inahimiza kuendeleza mfumo wa ushirikiano kati ya nchi za BRICS.…
Rais Xi Jinping wa China akikutana na Waziri Mkuu wa India Narendra Modi katika wakati wa Mkutano wa 16 wa Viongozi wa BRICS huko Kazan, Russia, Oktoba 23, 2024. (Xinhua/Shen Hong)
KAZAN, Russia - Rais Xi Jinping wa China jana Jumatano alipokutana na Waziri Mkuu wa India Narendra Modi katika wakati wa Mkutano wa 16 wa Viongozi wa nchi za BRICS alitaka China na India kuimarisha mawasiliano na ushirikiano, kuongeza hali ya kuaminiana kimkakati, na kuhimizana katika kutafuta matarajio ya maendeleo.…
Rais Xi Jinping wa China akihutubia Mkutano wa 16 wa Viongozi wa nchi za BRICS huko Kazan, Russia, Oktoba 23, 2024. Mkutano huo umeandaliwa na Rais wa Russia Vladimir Putin, na kuhudhuriwa na Rais wa China Xi Jinping, Rais wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva (kwa njia ya video), Rais wa Misri Abdel-Fattah al-Sisi, Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed, Waziri Mkuu wa India Narendra Modi, Rais wa Iran Masoud Pezeshkian, Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa na Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan.…
Rais wa China Xi Jinping akikutana na Rais wa Russia Vladimir Putin huko Kazan, Russia, Oktoba 22, 2024. (Xinhua/Ding Haitao)
KAZAN, Russia - Rais wa China Xi Jinping jana siku ya Jumanne alipokutana na Rais wa Russia Vladimir Putin alisema kuwa China na Russia zimepata njia sahihi ya kuwa na ujirani mwema kwa nchi kubwa jirani, njia hiyo ni kutofungamana na upande wowote, kutopambana na kutolenga upande wowote wa tatu.…
KAZAN, Russia - Rais wa China Xi Jinping amewasili Kazan, Russia jana Jumanne kwa kuhudhuria Mkutano wa 16 wa Wakuu wa nchi za BRICS, ambapo maofisa wa Russia walimlaki Rais Xi kwenye uwanja wa ndege huku askari wa gwaride la heshima wakiwa wamejipanga pande zote za zulia jekundu kumpa heshima kiongozi huyo wa China, na vijana wa Russia waliokuwa wamevalia mavazi ya makabila wakimkaribisha kwa desturi na mila. Aidha, ndege ya kivita ya Russia ilionekana ikisindikiza ndege iliyokuwa imembeba Rais Xi.…
BEIJING - Rais Xi Jinping wa China amerejea Beijing Alhamisi usiku baada ya kuhudhuria Mkutano wa 16 wa Viongozi wa Nchi za BRICS uliofanyika Kazan, Russia kuanzia Oktoba 22 hadi 24.
Msafara wa Rais Xi, ambao ni pamoja Cai Qi, Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) ambaye pia ni Mkurugenzi wa Ofisi ya Kamati Kuu ya CPC, na Wang Yi, Mjumbe wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya CPC ambaye pia ni waziri wa mambo ya nje wa China, umerejea kwa ndege moja.…
Rais wa Russia Putin akiongea kwenye mkutano na waandishi wa habari katika siku ya mwisho ya Mkutano wa 16 wa Viongozi wa Nchi za BRICS mjini Kazan, Russia Oktoba 24. (Xinhua/Cao Yang)
MOSCOW - Nchi za BRICS zina dhamira ya kujenga utaratibu wa dunia wa kidemokrasia na wenye pande nyingi, Rais wa Russia Vladimir Putin amesema siku ya Alhamisi, kwenye mkutano na waandishi wa habari katika siku ya mwisho ya Mkutano wa 16 wa Viongozi wa Nchi za BRICS mjini Kazan, Russia.…
Rais Xi Jinping wa China akitoa hotuba muhimu yenye kichwa "Kuunganisha Nguvu Kubwa ya Nchi za Kusini Kujenga Pamoja Jumuiya ya Binadamu yenye Mustakabali wa Pamoja" kwenye mazungumzo ya viongozi wa nchi za "BRICS Plus" huko Kazan, Russia, Oktoba 24, 2024. (Xinhua/Li Xueren)
KAZAN, Russia - Wakati viongozi wa nchi za BRICS walipokutana na nchi zisizo wanachama zinazotafuta uhusiano wa karibu na jumuiya hiyo siku ya Alhamisi, Rais wa China Xi Jinping ameeleza uungaji mkono mkubwa kwa Nchi za Kusini wakati akishiriki kwenye mazungumzo ya viongozi wa nchi za "BRICS Plus" siku ya mwisho ya mkutano huo wa Kazan.…
Rais Xi Jinping wa China akitoa hotuba muhimu yenye kichwa "Kuunganisha Nguvu Kubwa ya Nchi za Kusini Kujenga Pamoja Jumuiya ya Binadamu yenye Mustakabali wa Pamoja" kwenye mazungumzo ya viongozi wa nchi za "BRICS Plus" huko Kazan, Russia, Oktoba 24, 2024. (Xinhua/Li Xueren)
KAZAN, Russia - Rais Xi Jinping wa China jana Alhamisi alipokuwa akihutubia katika mazungumzo ya viongozi wa "BRICS Plus" ametoa wito kwa nchi za "BRICS Plus" kujitahidi kwa ajili ya usalama wa pamoja, maendeleo ya pamoja na mapatano kati ya ustaarabu mbalimbali.…
BEIJING - Rais Xi Jinping wa China amerejea Beijing Alhamisi usiku baada ya kuhudhuria Mkutano wa 16 wa Viongozi wa Nchi za BRICS uliofanyika Kazan, Russia kuanzia Oktoba 22 hadi 24.
Msafara wa Rais Xi, ambao ni pamoja Cai Qi, Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) ambaye pia ni Mkurugenzi wa Ofisi ya Kamati Kuu ya CPC, na Wang Yi, Mjumbe wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya CPC ambaye pia ni waziri wa mambo ya nje wa China, umerejea kwa ndege moja.…
Rais wa Russia Putin akiongea kwenye mkutano na waandishi wa habari katika siku ya mwisho ya Mkutano wa 16 wa Viongozi wa Nchi za BRICS mjini Kazan, Russia Oktoba 24. (Xinhua/Cao Yang)
MOSCOW - Nchi za BRICS zina dhamira ya kujenga utaratibu wa dunia wa kidemokrasia na wenye pande nyingi, Rais wa Russia Vladimir Putin amesema siku ya Alhamisi, kwenye mkutano na waandishi wa habari katika siku ya mwisho ya Mkutano wa 16 wa Viongozi wa Nchi za BRICS mjini Kazan, Russia.…
Rais Xi Jinping wa China akitoa hotuba muhimu yenye kichwa "Kuunganisha Nguvu Kubwa ya Nchi za Kusini Kujenga Pamoja Jumuiya ya Binadamu yenye Mustakabali wa Pamoja" kwenye mazungumzo ya viongozi wa nchi za "BRICS Plus" huko Kazan, Russia, Oktoba 24, 2024. (Xinhua/Li Xueren)
KAZAN, Russia - Wakati viongozi wa nchi za BRICS walipokutana na nchi zisizo wanachama zinazotafuta uhusiano wa karibu na jumuiya hiyo siku ya Alhamisi, Rais wa China Xi Jinping ameeleza uungaji mkono mkubwa kwa Nchi za Kusini wakati akishiriki kwenye mazungumzo ya viongozi wa nchi za "BRICS Plus" siku ya mwisho ya mkutano huo wa Kazan.…
Rais Xi Jinping wa China akitoa hotuba muhimu yenye kichwa "Kuunganisha Nguvu Kubwa ya Nchi za Kusini Kujenga Pamoja Jumuiya ya Binadamu yenye Mustakabali wa Pamoja" kwenye mazungumzo ya viongozi wa nchi za "BRICS Plus" huko Kazan, Russia, Oktoba 24, 2024. (Xinhua/Li Xueren)
KAZAN, Russia - Rais Xi Jinping wa China jana Alhamisi alipokuwa akihutubia katika mazungumzo ya viongozi wa "BRICS Plus" ametoa wito kwa nchi za "BRICS Plus" kujitahidi kwa ajili ya usalama wa pamoja, maendeleo ya pamoja na mapatano kati ya ustaarabu mbalimbali.…
BEIJING - Rais Xi Jinping wa China amerejea Beijing Alhamisi usiku baada ya kuhudhuria Mkutano wa 16 wa Viongozi wa Nchi za BRICS uliofanyika Kazan, Russia kuanzia Oktoba 22 hadi 24.
Msafara wa Rais Xi, ambao ni pamoja Cai Qi, Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) ambaye pia ni Mkurugenzi wa Ofisi ya Kamati Kuu ya CPC, na Wang Yi, Mjumbe wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya CPC ambaye pia ni waziri wa mambo ya nje wa China, umerejea kwa ndege moja.
Rais wa Russia Putin akiongea kwenye mkutano na waandishi wa habari katika siku ya mwisho ya Mkutano wa 16 wa Viongozi wa Nchi za BRICS mjini Kazan, Russia Oktoba 24. (Xinhua/Cao Yang)
MOSCOW - Nchi za BRICS zina dhamira ya kujenga utaratibu wa dunia wa kidemokrasia na wenye pande nyingi, Rais wa Russia Vladimir Putin amesema siku ya Alhamisi, kwenye mkutano na waandishi wa habari katika siku ya mwisho ya Mkutano wa 16 wa Viongozi wa Nchi za BRICS mjini Kazan, Russia.
Rais Xi Jinping wa China akitoa hotuba muhimu yenye kichwa "Kuunganisha Nguvu Kubwa ya Nchi za Kusini Kujenga Pamoja Jumuiya ya Binadamu yenye Mustakabali wa Pamoja" kwenye mazungumzo ya viongozi wa nchi za "BRICS Plus" huko Kazan, Russia, Oktoba 24, 2024. (Xinhua/Li Xueren)
KAZAN, Russia - Wakati viongozi wa nchi za BRICS walipokutana na nchi zisizo wanachama zinazotafuta uhusiano wa karibu na jumuiya hiyo siku ya Alhamisi, Rais wa China Xi Jinping ameeleza uungaji mkono mkubwa kwa Nchi za Kusini wakati akishiriki kwenye mazungumzo ya viongozi wa nchi za "BRICS Plus" siku ya mwisho ya mkutano huo wa Kazan.
Rais Xi Jinping wa China akitoa hotuba muhimu yenye kichwa "Kuunganisha Nguvu Kubwa ya Nchi za Kusini Kujenga Pamoja Jumuiya ya Binadamu yenye Mustakabali wa Pamoja" kwenye mazungumzo ya viongozi wa nchi za "BRICS Plus" huko Kazan, Russia, Oktoba 24, 2024. (Xinhua/Li Xueren)
KAZAN, Russia - Rais Xi Jinping wa China jana Alhamisi alipokuwa akihutubia katika mazungumzo ya viongozi wa "BRICS Plus" ametoa wito kwa nchi za "BRICS Plus" kujitahidi kwa ajili ya usalama wa pamoja, maendeleo ya pamoja na mapatano kati ya ustaarabu mbalimbali.