Pendekezo la "Ukanda Mmoja, Njia Moja" limepita miaka kumi: Barabara zimeunganishwa na uzuri umechangiwa na Dunia (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 28, 2023

雅万高铁

• Reli ya Kasi ya Jakarta-Bandung nchini Indonesia

Reli hiyo ilifunguliwa rasmi kwa matumizi Oktoba 17, 2023

Ni Reli ya kwanza ya mwendo kasi katika Asia ya Kusini-Mashariki, yenye urefu wa kilomita 142 na muundo wa kasi ya kilomita 350 kwa saa.

Mfumo wa kwanza, mambo yote, na mnyororo mzima wa viwanda wa reli ya mwendo kasi ya China kwenda nje ya nchi.

Muda wa kusafiri kati ya Jakarta na Bandung umefupishwa kutoka zaidi ya saa 3 hadi zaidi ya dakika 40.

Nafasi za ajira jumla ya 51,000 kwa wenyeji zimetolewa nchini Indonesia.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha