

Lugha Nyingine
Pendekezo la "Ukanda Mmoja, Njia Moja" limepita miaka kumi: Barabara zimeunganishwa na uzuri umechangiwa na Dunia (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 28, 2023
• Reli ya China-Laos
Ilifunguliwa rasmi kwa matumizi ya umma Desemba 3, 2021.
Hadi kufikia Oktoba 3, 2023, jumla ya abiria zaidi ya milioni 21.9 wamesafirishwa.
Treni zaidi ya 26,000 za mizigo zimeendeshwa, zikisafirisha mizigo kwa tani milioni 26.8. Aina za bidhaa zimeongezeka kutoka aina zaidi ya 10 katika hatua ya awali ya ufunguzi hadi aina zaidi ya 2,700.
Mwaka 2022, kati ya bidhaa zilizosafirishwa kupitia reli kati ya China na ASEAN, uwiano wa bidhaa zilizosafirishwa kupitia reli ya China-Laos uliongezeka hadi 44.7%, na kuchangia zaidi ya 60% katika ukuaji wa uagizaji na uuzaji bidhaa nje kwa usafirishaji wa reli kati ya China na ASEAN.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma